This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan
…
continue reading
Audio za Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
…
continue reading
Exclusive interviews in Copenhagen, Denmark with big names in music, comedy, and sports.
…
continue reading
I hope to inspire,teach,entertain and train my beloved listeners through all that I have, the people I meet and the stories I share.Karibu Sana.
…
continue reading
This is a story of William Lema living in Mwanza Tanzania. His journey of life, work, school, and other matters. This is life of most African. There is love, and many.
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA SERA YA MAJI YA MWAKA 2002, TOLEO LA MWAKA 2025
40:54
40:54
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
40:54Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Dar Es SalaamPor Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA NAMIBIA
13:43
13:43
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
13:43Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-NdaitwahPor Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA SERA YA TAIFA YA ARDHI YA MWAKA 1995 TOLEO LA 2023 NA MFUMO WA e-ARDHI JIJINI DODOMA
51:50
51:50
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
51:50Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi tarehe 17 Machi, 2025 Jijini DodomaPor Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT
41:49
41:49
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
41:49Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAME - MWANGA - KOROGWE
22:46
22:46
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
22:46Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuzindua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, tarehe 09 Machi, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
44:09
44:09
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
44:09Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS DKT. WAKATI AKIKAGUA MABORESHO YA MRADI WA GATI MBILI MPYA KATIKA BANDARI YA TANGA,
17:35
17:35
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
17:35Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akagua Maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. WAKATI WA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA LPG TERMINAL GBP GAS MKOANI TANGA
9:41
9:41
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:41Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi la ujenzi wa LPG Terminal GBP Gas Mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA TANGA
27:27
27:27
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
27:27Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awahutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo tarehe 28 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKINGA
15:22
15:22
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
15:22Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mkinga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Stendi ya mabasi ya Mkinga katika muendelezo wa ziara yake mkoani humo tarehe 27 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MUHEZA KWENYE MKUTANO WA HADHARA
26:33
26:33
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
26:33Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA PANGANI
16:42
16:42
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
16:42Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kumba ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 26 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MSIKITI MKUU WA IJUMAA TANGA
13:05
13:05
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
13:05Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA KILINDI
15:38
15:38
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
15:38Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kilindi, wakati akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.…
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANDENI
10:35
10:35
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
10:35Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kwenye mkutano wa hadhara katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI KOROGWE
11:58
11:58
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
11:58Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO KATIKA MUENDELEZO WA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
12:36
12:36
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
12:36Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKATA, KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MKATA WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA TAREHE 23 FEBRUARI ...
18:03
18:03
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
18:03Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA HAFLA YA UTOAJI WA TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA
18:57
18:57
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
18:57Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA TATU WA NCHI ZINAZOZALISHA KAHAWA BARANI AFRIKA (THE 3RD G25 AFRICA COFFEE SUMMIT)
35:13
35:13
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
35:13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA PROGRAMU YA MWANAMKE KIONGOZI
26:37
26:37
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
26:37Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Februari, 2025.…
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA KAWAIDA WA 38 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA (AU)
5:17
5:17
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
5:17Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumzia kuhusu masuala ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia.…
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA PAMOJA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA EAC NA SADC
5:41
5:41
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
5:41Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025.…
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA HAFLA YA KUPOKEA TUZO YA THE GLOBAL GOALKEEPERS AWARD
13:57
13:57
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
13:57Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya kimataifa ya The Global Goalkeepers AwardsPor Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI
24:59
24:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
24:59Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma, tarehe 03 Februari, 2025Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO
31:42
31:42
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
31:42Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 1 Januari, 2025Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MCHANA PAMOJA NA WASHIRIKI WA ZOEZI LA UOKOAJI WA AJALI YA KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA ENEO LA KARIAKOO
24:22
24:22
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
24:22Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa eneo la Kariakoo leo tarehe 30 Januari, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA AFRIKA KUHUSU NISHATI
4:42
4:42
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
4:42Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala ya Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN YA KUAGA MWAKA 2024
29:16
29:16
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
29:16Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa wakati wa kuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025 katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 31 Desemba, 2024Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.
3:25
3:25
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
3:25Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOSHIRIKI KUAGA MWILI WA BW. LAWRENCE NYASEBWA MAFURU ALIYEKUWA KATIKA MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO
20:29
20:29
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
20:29Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI WAKATI WA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA
10:11
10:11
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
10:11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Mkutano huo unaowakutanisha wadau mbal…
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI MWANZA ,OKTOBA 14,2024.
33:02
33:02
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
33:02Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati akihitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge ambazo kitaifa zimefanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba tarehe 14 Oktoba, 2024.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA
8:43
8:43
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
8:43Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa kitongoji cha Sokoine wakati wa zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZINDUA TUME YA KUTOA MAPENDEKEZO YA MFUMO WA KODI NCHINI
27:27
27:27
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
27:27Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA UZINDUZI WA KITABU CHA MAISHA NA UONGOZI WA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE
26:48
26:48
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
26:48Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI NCHINI TANZANIA
45:31
45:31
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
45:31Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakati kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.…
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA JUKWAA LA USHIRIKIANO KATI YA CHINA NA VIONGOZI WAKUU WA AFRIKA ,BEIJING ,CHINA Tarehe 05,Septemba ,2024
6:42
6:42
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
6:42Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA KILELE CHA MIAKA 60 YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ)
19:39
19:39
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
19:39Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE MKOANI DODOMA
31:49
31:49
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
31:49Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU 6 MKOANI MOROGORO ,TAREHE 06,AGOSTI 2024.
41:00
41:00
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
41:00Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kikazi tarehe 06 Agosti, 2024.Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA HADHARA IFAKARA MKOANI MOROGORO ,TAREHE 05,AGOSTI 2024
34:50
34:50
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
34:50Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
Hotuba ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Kilosa -Rudewa (km 24) pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Kilosa Mkoani Morogoro wakati ya ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro ,tarehe ...
12:25
12:25
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
12:25Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA UZINDUZI WA SAFARI YA TRENI YA UMEME NA MWENDOKASI YA SGR KATIKA KITUO CHA SAMIA ,DODOMA TAREHE 01 AGOASTI,2024
35:54
35:54
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
35:54Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO NA MACHIFU IKULU CHAMWINO MJINI DODOMA ,JULAI 20 ,2024
34:54
34:54
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
34:54Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOSHIRIKI UZINDUZI WA MAONESHO YA 48 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM (SABASABA) NA MGENI WAKE MHE. FELIPE JACINTO NYUSI ,RAIS WA JAMHURI YA MSUMBIJI ...
13:10
13:10
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
13:10How does one transform from a junior officer to a recognized leader? Our special guest recounts their inspiring journey, expressing heartfelt gratitude to the remarkable people and supporters who have been pivotal along the way. Hear personal acknowledgments to Mama Mkapa and the National Council, and uncover the power of collaboration and dedicati…
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA ZIARA YA KIKAZI YA RAIS WA JAMHURI YA MSUMBIJI ,MHESHIMIWA RAIS FELIPE JACINTO NYUSI
15:26
15:26
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
15:26Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA AZINDUZI WA KONGAMANO LA PILI LA MAENDELEO YA SEKTA YA HABARI
1:01:32
1:01:32
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
1:01:32Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA HAKI JINAI YA KUANDAA MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA TUME YA KUANGALIA JINAI NCHINI ILIYOFANYIKA CHAMWINO ,DODOMA ...
22:54
22:54
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
22:54What if the key to battling RNA viruses and ensuring community growth lies in legal and educational reforms? In this episode, we dive deep into a conversation with the Minister of Health and other influential figures who have been pivotal in pushing forward critical initiatives. We discuss the incredible progress being made in public health, the es…
…
continue reading

1
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOSHIRIKI KATIKA HAFLA YA KUPOKEA GAWIO NA MICHANGO KUTOKA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA ,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM ,JUNI 11 ,2024.
40:46
40:46
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
40:46Por Ikulu Mawasiliano
…
continue reading