…
continue reading
1
Tanzania:Juhudi za wabunifu katika kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tan…
…
continue reading
1
Fursa za uchumi wa buluu zilizopo katika Ziwa Victoria
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa. Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa. Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo …
…
continue reading
Wagonjwa wengi barani Afrika wanahisi kuwa gharama ya matibabu ya figo ipo juu zaidi.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira. Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili M…
…
continue reading
1
Utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD)
9:58
9:58
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:58
Karibu Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo inatuwama katika Mkoa wa Arusha palipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika mashariki tukiangaza juu ya miradi ya kilimo endelevu inayotekelezwa kwa ufadhili wa Shirika la maendeleo la Ufaransa AFD.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changamoto zinazotokana na migumo ya wahudumu wa sekta ya usafiri Afrika
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Raia wengi wa mataifa ya Afrika Mashariki hutegemea pakubwa sekta ya usafiri wa umma kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyengine.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Simulizi ya maisha ya aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Hassan Mwinyi
9:58
9:58
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:58
Historia ya rais mstaafu wa Tanzania, hayati Hassan Mwinyi wakati wa uhai wake.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
Mwalimu Julius Nyerere alifanya kazi kwa bidii kuona kuwa Afrika inakuwa kitu kimoja.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania: Simulizi ya maisha ya waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Mwandishi wetu wa Mwanza Martin Nyoni anaangazia maisha ya kisiasa ya aliyekuwa waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Edward Lowassa.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Kufungwa kwa mpaka kati ya nchi za Rwanda na Burundi
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Changamoto za kufungwa kwa mpaka kati ya Rwanda na BurundiPor RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Harakati mpya za vikosi vya SADC mashariki ya DRC
9:56
9:56
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:56
Vikosi vya SADC vinapelekwa mashariki mwa DRC kusaidia kurejesha amani. Hatua inayokuja baada ya kuondoka kwa vile vya Afrika Mashariki ambavyo vilituhumiwa na serikali ya Kinshasa kushindwa majukumu yao.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Muhula wa pili wa rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo
9:57
9:57
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:57
Makala ya wiki hii yanaangazia ahadi za rais Felix Tshisekedi katika muhula wake wa pili kama kiongozi wa DRC.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
Wanafunzi wengi katika mataifa ya Afrika Mashariki wamerejea shuleni wiki hii.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Hatua Somalia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa hatua ya Somalia kujiunga na EAC, itaisaidia katika vita dhidi ya makundi ya watu wenye silahaPor RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Wanawake katika sanaa ya uchoraji nchini Tanzania
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Makala ya wiki hii yanaangazia namna wanawake nchini Tanzania wamegeukia sanaa hii ya uchoraji.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uelewa wa wananchi wa Mwanza kuhusu mvua za El Nino
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yameendelea kufanya maandalizi kuelekea mvua za El Nino.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifa
9:56
9:56
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:56
Sekta ya Nishati ndiyo mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa lolote lile, Mathalan takwimu zinaonesha, mahitaji ya juu ya umeme yameongezeka ambapo serikali ya Tanzania inasema kuwa muelekeo ni kuongeza katika Gridi ya Taifa MW 218.67 na kufikia MW 1,913.22 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2022/23.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Biashara ya samaki na dagaa jijini Mwanza nchini Tanzania.
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Makala ya wiki yanaangazia namna wanawake waendeleza biashara ya samaki nchini TanzaniaPor RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania: Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha
9:58
9:58
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:58
Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya RuahaPor RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Juhudi za kusambaza umeme nchini Tanzania
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Zaidi ya watu milioni mia tano kusini mwa jangwa la sahara wanakabiliwa na tatizo la umeme.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Nafasi ya muungano wa BRICS kwa mataifa ya Afrika
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Viongozi wa kundi la mataifa ya BRICS - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini hvi karibuni wamekutana mjini Johannesburg nchini Afrika kusini na ajenda muhimu mezani ikiwa ni kukubali ombi la kuongeza wanachama wapya ndani ya muungano huo. Tunaangazia mkutano huu wiki hii.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Vijana na ushiriki wa fursa ndani ya Afrika mashariki
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Namna Jumuiya ya Afrika Mashariki inawapa vijana nafasi na fursa za kujiendeleza kimandeleo.Por RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Juhudi za muungano wa makabila kusaka amani DRC
9:59
9:59
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:59
Ukabila umetajwa kuwa mojawapo ya mambo yanayochangia katika utovu wa usalama nchini DRCPor RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Mgogoro wa Kenya na athari kwa uchumi Afrika
9:49
9:49
Mais Tarde
Mais Tarde
Listas
Like
Curtido
9:49
Makala ya wiki yanaangazia athari za kiuchumi zinazotokana na maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha nchini Kenya kwa bara AfrikaPor RFI Kiswahili
…
continue reading