Uchambuzi Wa Kitabu Cha "BIRD BY BIRD"
M4A•Home de episódios
Manage episode 394720755 series 3280689
Conteúdo fornecido por Innocent Ngaoh. Todo o conteúdo do podcast, incluindo episódios, gráficos e descrições de podcast, é carregado e fornecido diretamente por Innocent Ngaoh ou por seu parceiro de plataforma de podcast. Se você acredita que alguém está usando seu trabalho protegido por direitos autorais sem sua permissão, siga o processo descrito aqui https://pt.player.fm/legal.
Ni kitabu mahususi kimeandikwa na Anne Lemmot ambacho utajifunza mambo mengi kuhusu uandishi wa vitabu na kuishi maisha yenye uhuru ndani yake. Hakikisha unaandika pembeni mambo ambayo utajifunza kupitia uchambuzi wa kitabu hiki kizuri cha BIRD BY BIRD yaani NDEGE KWA NDEGE. Katika uchambuzi wa kitabu hiki utajifunza sura tano ambazo mwandishi ametushirikisha kuhusu uandishi wa vitabu na ndani ya sehemu hizo zimegwanyikwa part ndogo ndogo. Ni kitabu kizuri kama unataka kuwa mwandishi mzuri wa Riwaya, Hadithi, Simulizi, Makala Na Vitabu Aina Yoyote basi uchambuzi ni mahususi kwako. Kitabu cha BIRD BY BIRD ni kitabu kizuri basi unahitaji sana kusoma kitabu hiki. Kurahisha nimekuandalia mambo yote muhimu kuhusu kitabu kwa lugha hadhimu ya Kiswahili. Hakikisha una SUBSCRIBE podcast hii
…
continue reading
111 episódios